Kichin cha Asho

Kichin ya Asho (pia Kiasho) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Myanmar na Bangladesh inayozungumzwa na Waasho. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kichin ya Asho imehesabiwa kuwa watu 30,000 nchini Myanmar na 4000 nchini Bangladesh. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kichin ya Asho iko katika kundi la Kisal.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy